Shirika

Bidii NGO

Ili kufanya kazi haraka na kwa ufasaha, ni lazima shirika letu lifanye kazi pamoja na shirika tanzu nchini Kenya. 


Kijiji kidogo cha kambiri ndio kitakua kituo cha
“Mradi wa Kambiri”; shughuli kuu za shirika la
Bidii zitaangazia maendeleo ya kijiji hiki.

Wasimamizi wa bidii ni wakenya pekee na linapatikana wilaya ya Kakamega. Jukumu kubwa la bidii itakuwa usimamizi na utekelezaji wa “Mradi wa Kambiri”. Bidii ni shirika lisilo la kiserekali lililosajiliwa. Ona pia Usimamizi wa Mashirika yasio ya kiserekali Nairobi.

Tembelea tufuti ya bidii
http://www.bidii.org
Kwa sasa unaweza soma habari zote kuhusu Mradi wa Kambiri chini ya vichwa vya miadi kwenye tufuti yetu ya FUSP ( makao ya watoto, kituo cha jamii, chuo cha mafunzo
 

 
 
Kibali cha usajili na Ramani
Kwa wasio waholanzi ona  [ Michango ] ili kujua jinsi ya kutoa mchano wako.