Shirika

Sisi ni nani

Foundation Ukunda Schools Project (FUSP) ilizinduliwa tarehe 2 juni 2005. FUSP imesajliwa Zutphen, Uholanzi: Chamber of Commerce Veluwe en Twente - Nambari 08136549. Wizara ya kodi ya Uholanzi inatambua shirika letu kama ANBI; hii inamaanisha kampuni zinawezatoa mchango waokutoka kwa kodi zao.

Wasimamizi wa shirika:

Janet van Wegen
Mwenyekiti
janet@ukundafoundation.org
 
Ruud Fidder
Muweka hazina
ruud@ukundafoundation.org
 
Rene de Vries
Muandishi / Mkurugenzi wa miradi
rene@ukundafoundation.org
 

Mtu wa mawasiliano mkuu Kenya ni:

Rose Anami
Mkurugenzi wa nyanjani
rose@ukundafoundation.org

Waliojitolea Uholanzi:
 


 
 
Aldert Glas
Muziki / video
 
Anja Kapenga
Huduma ya afya
Corine Kapenga
 
 
Waliojitolea Kenya:
Eva Anami
Kutembelea shule
Carol Lijoodi
Kutembelea shule
Sammy N. Gichohi
Fundi
http://www.nderi.com 
  +254 721 255012
Ruth Lusweti
Uhusiano wa jamii / Mkalimani

 

 
Kibali cha usajili na Ramani
Kwa wasio waholanzi ona  [ Michango ] ili kujua jinsi ya kutoa mchano wako.