Shirika

Habari chipukizi

Wageni tangu
Agosti 1, 2003:

Maelezo ya hivi punde:
14 July 2014

Karibu

Due to personal reasons, the Board Members had to decide to end all activities of the foundation. By the beginning of 2014, the foundation is terminated. Some small projects will be continued by a private initiative. More details about this can be found on website Ticha Books

Shirika hili Foundation Ukunda Schools Project, linasaidia shule mbili, Magutu na Magale. Tunasaidia pia shule ya upili ya St. Philip's Girls Secondary School, na tunafanya kazi kupitia miradi mipya: kama kusambaza mabomba ya maji safi ya kunywa.

 

Waholanzi waliojitolea husafiri hadi Kenya,kwa gharama yao wenyewe kutembelea shule tunazozisaidia. Sisi hununua kila kitu Kenya ili kuinua uchumi wake, pia huhakikisha shule hizi zinatumia vifaa tulivyowapatia. Tunafanya kila juhudi kuhakikisha tunatembelea shule zilizo katika mradi wetu ingawa mara mbili kwa mwaka.
Kando na waholanzi wanaojitolea, shule hizi pia hutembelewa na mkurugenzi wetu wa nyanjani Rose Anami.

Tunatia changamoto hizi shule ziangazie sana mafunzo ya jinsia, kuhusu Ukimwi . Jinsi wanafunzi wanaweza jipanga kupigana na hili gonjwa. Elimu lkama hii inahitajika sana.

Tunahitaji usaidizi ili kufikia malengo yetu. Unaweza kutusaidia kwa kutoa mchango ama kwa kuwa mfadhili wa hili shirika. Ona Mchango kwa maelezo zaidi.

Kwa usaidizi wako wa kifedha unaatusaidia kumpa mtoto wa Kenya fursa zaidi ya kumaliza shule ya msingi hivyo basi kuongeza nafasi ya mototo huyo kuwa na maisha bora.

 
Kibali cha usajili na Ramani
Kwa wasio waholanzi ona  [ Michango ] ili kujua jinsi ya kutoa mchano wako.