Misaada

Utangulizi

Tunashukuru sana kuwa shule na Kampuni yetu itaandaa mchango ili kuchangisha fedha nyingi iwezekanavyo kwa ajili ya shirika letu. Tunaelewa kuwa unahitaji maelezo zaidi kuhusu hii: miradi yetu, kuhusu nchi, ni michango ya aina gain haswa ndi hufaulu.
Shule na kampuni huandaa matembezi ya kuchangisha {kwa kidachi:sponsorloop) lakini hata hivyo waweza ifanya katika njia upendayo.

Tungependa kukusaidia unapfanya mchango wako kwa ajili ya Kenya. Kwanza kabisa tunatumai tufuti yetu inakupatia maelezo ya kutosha. Hata hivyo tutakupa hivi vitu vingine kama utasaidia shirika letu:

  • Picha (watu, wanyama, shule, mazingira na kadhalika)
  • DVD zenye maelezo kuhusu shule “zetu”
  • Warsha ama kuwakilisha katika tarakilishi
  • Majarida
  • Mabango
  • Mafunzo ya muziki (djembe)
  • Ikiwaa una jambo lingine lolote unaweza tuambia.

Unaweza pata maelezo zaidi kwenye kurasa tulizotaja kwenye shoto ya sehemu hii. Unapohitaji maelezo zaidi, wasiliana nasi!

Miradi yetu yote inatimiza azimio moja ama zaidi ya Malengo ya karne. lengo letu kuu ni elimu kwa watoto, kupunguza vifo vya watoto na haki sawa za wavulana na wasichana.
 

 
Kibali cha usajili na Ramani
Kwa wasio waholanzi ona  [ Michango ] ili kujua jinsi ya kutoa mchano wako.