Miradi

Shule za Msingi

Kushoto utaona orodha za majina ya shule za msingi tulizozisaidia miakailiyopiata. Bonyeza kwnye jina lashuleilikupata maelezo zaidi.

Kwa mwaka wa 2011 tuko na miradina shule hizi tatu.

Rangi ya kiwango cha pesa

 

 Jumla ya pesa zinazohitajika

 

 Pesa zilizokusanywa kufikia sasa.

 

Yanayohitajika magale

 

€ 3.000,-

Magale Primary School

 
 
 
 
 
 

 

Jina la Shule:

Magale Primary School

Project:

Kwa mwaka 2011 tumepanga:
Tarakilishi kwa shule za msingi

Yanayohitajika:

Dawati za tarakilishi na nyaya: € 3.000,-

Kutendakazi pamoja:

Wafadhili kadhaa waliojiunga na kilabu cha 1% Uholanzi walichanga fedha hizi.

Kufuatilia miradi:

Yatakayoamuliwa oktoba 2011

Maoni:

Shulehii iko Kambiri takribani kilomita 40 kutoka Kakamega.
Mwaka 2006 –mwanzo wa 2007 tulipatia shule madirisha ya vioo,hivyo madarasa 12 yamekingwa kutokana na upepo. Tulipata ufadhili kutoka kwa  NCDOYanayohitajika Magutu:

 

€ 6.500,-

 

 
 
 

 
 

Jina la Shule:

Shule ya Msingi ya Magutu

Mradi:

Mwakawa 2011 tumepanga. 
Kujenga madarasa ya chekechea

Yanayohitajika:

Madarasa mapya, madawati na vitu vya kuchezea kwa watoto wadogo kabisa wa hii shule.

Kutendakazi pamoja:

Mwaka wa 2007 tuliweza kupeana duka la shule na meza, mabenchi, sufuria, vikaango na kadhalika. tulipata msaada kutoka jiji la Zutphen (Uholanzi).

Kufuatilia miradi:

Yatakayoamuliwa oktoba 2011

Maoni:

 

Shule hii iko Ukunda
Februari 2006 tulifungua duka la shule. Tulijenga duka hili kwa ushirikiano wa cbs De Wadden na Oxfam-Novib kwa mradi wa “unaweza tenda pia”
Machi 2007 tulifungua madarasa 4 mapya. Kila darasa lina dawati 35 mpya. Pia tuliwapatia tanki ya maji. Tulipata masaada wa kifedha kwa NCDO na Christian primary school Arcade.


 

 
Kibali cha usajili na Ramani
Kwa wasio waholanzi ona  [ Michango ] ili kujua jinsi ya kutoa mchano wako.